Habari za chinichini zinasema kwamba baada ya kufanya poa kwenye reality show huko Afrika Kusini, Diamond Platnumz ameamua kuingia kwenye ulimwengu wa movie mazima. Kama ni kweli, unahisi atatoboa?#LYIMovie